Saturday, September 30, 2017

Amini hili;

Demu mwembamba akivaa dera kwa mbali akiwa amesimama unaweza ukadhani mashine inamalizia kusaga donaπŸ‘πŸ‘πŸ‘

Tuesday, September 12, 2017

WIVU NI NINI


Wivu ni hisia zifananazo na
chuki zimpatazo mtu hasa
aaminipo kitu/hali flani yeye
ndiye aliyestahili kuipata kuliko
aliyepata
Wivu ni tabia kama
zilivyo tabia nyngnezo kama
uchoyo, unafiki, usaliti, uongo
nk. Pia kuna aina kuu mbili za
wivu zinazojitokeza sana ktk
maisha ya kila siku

1. Wivu wa kimapenz
2. Wivu wa maendeleo.
Nitafafanua kidogo japo kwa
mifano. ili aina hizi ziweze
kueleweka

1. Wivu wa kimapenzi
Hii ni aina ya wivu, ambao
hujitokeza baina ya watu
wawili ambao wana mahusiano
ya kimapenzi, inapotokea
mmoja kati ya watu hawa
afanyapo kitu kinachoweza
fanya aonekane kwa namna
moja au nyingine na
mahusiano ya ukaribu na jinsia
nyingine. basi mwenzie huanza
kupatwa na hisia tofauti
ambazo huambatana na kero
ya maumivu fulani fulani hivi
ambayo hayaelezeki, pata picha
ktk pita pita zako unamuona
mwenza wako na rafiki yako wa
jinsia tofauti na yake
wanatembea huku wakicheka
na kufanya michezo ya hapa na
pale.

2. Wivu wa maendeleo.
aina hii inaweza kujitokeza
hasa hasa kwa marafiki ghafla
unakuta mwenzio/jilani/ndg
yako anafanikiwa anapendeza,
akisema anasikilizwa [japo
unaamini hana point],
anajenga, ana gari nzuri,
biashara yake zinakwenda poa
ila aina ya kazi mnafanya moja
na wewe unadidimia hapa sasa
ndo wivu huu huanza
kujitokeza.
Je kuna watu wasio na wivu…..!
kuwa na Wivu si dhambi na ni
karibia watu wote tuna wivu.
isipokuwa sasa Wivu ndo
humzalishia mwanadamu
dhambi hasa anaposhindwa
kuvumilia mambo yanayomsibu
katika roho yake, hapa ndio
huzaa dhambi ya chuki,
uwongo, fitina, majungu,
uchawi n.k. Lakini kwa mwenye
akili nzuri ndo hutumia muda
huo kujisahihisha kuwa wapi
nakosea, wapi nateleza katika
kufanya mambo yangu ili
nifanikiwe.
Sababu zipelekeazo mtu kuwa
na wivu…….!

1. Kutokujiamini
hii huwatokea sana watu
waliopo ktk mahusiano mtu
anaamini kuwa mwenza wake
akitoka ndio basi tena…! Eti
atakutana na wazuri zaidi yake
hivyo tayali anakuwa na
kisilani moyoni !
Sikia mpendwa uzuri wa mtu
upo machoni pa mtu ivyo kaa
ukijua kama umechaguliwa
wewe basi we ndo bora kuliko
wote sawa…., jiamini basi.

2. Usaliti
Inapotokea mmoja kati ya
wapenzi si muaminifu hata
wakisameheane wivu huwa upo
katikati, hivi hujawahi kuona
mtu na mpnz wake wakigombea
kusoma txt ktk simu.

3. Ujinga
Pia nao husabisha kitu hiki,
mwenzio anafanya bidii katika
utafutaji, anabana matumizi,
lakini wewe ubunifu na bidii
hakuna, ila bata mwanzo
mwisho na mwisho wa siku
mnataka muwe sawa za wapi
hizo !

4. Lack of job security
unaweza nipa msaada ktk
kuiweka katika kiswahili ila ili
paeleweke vyema tizama mfano
huu unafanya kazi sehemu,
anakuja mtu amekuzidi elimu,
mcheshi, mpiga kazi n.k na
akipendwa na bosi ndio basi
tena unaanza kusema muache
anajifanya mjuaji, sijui ni
nanini ! Acha uoga, jitahidi
utengeneze alama sehemu
zako, siku ukikosekana watu
wahisi wamepungukiwa kitu.

4. Ubinafsi
Hivi ushawahi kaa na mtu
ghafla akakwambia huyu kaka/
dada simpendiiiii ! Na
ukimuuliza kwanini anakujibu
basi tuu !
Chunguza vizuri mtu wa namna
hii huwa wana tatizo dogo
sana may be anachukia mtu
kupendeza, life style yake n.k
na atazalisha sababu hapo
mara utasikia hasalimii, sijui
anajidai lakini ukiangalia
hakuna anachaothirika !

5. Urithi.
Kuna watu ambao wamezaliwa
tu kwa roho mbaya yaani
hapendi kuona watu
wakifanikiwa na sababu ya
msing hana ndo alivyo tuu.

6. Umasikini
msinielewe vibaya kwamba
matajili hawana wivu la hasha,
bali wengi huingia katika
kutamani vitu vingi mda
mwingine hata asivyo na uwezo
wa kupata kwa wakati huo.

7. Negative thinking
mfano kuhusu mtu anaringa,
anajidai, au anafanya jambo
kwa maslahi binafsi wkt
dhamila mtu huyo ni tofauti na
mawazo yako.
Jinsi ya kutengeneza jamii isiyo
na wivu

1. Kuishi kwa usawa
2. Jengeni mazingira ya
kuaminiana.
3. Kufanya kazi kwa bidii.
4. Upendo na kuheshmiana.
5. Kuishi kwa kusaidiana

Gm Artst

SIMAMIA UKWELI

Ndugu zang ktk maisha ni
vizur kuwa kama ulivyo
simamia kwenye ukweli wala
usikubali kuingia kwenye
uongo ili upate hiki na kile,
maisha tunayoishvni mafup,
uko leo hujui kama kesho
utafika yann kuwa mnafiki?
Yanini kusengenya wengine?
Yanini kuwa mtu wa majung
badala ya kuangalia mambo
yako ambayo yatakusaidia uwe
na maisha bora zaid kuliko
ulivyo sasa?

LEO YAKO

Leo ina thamani sana kuliko
kesho Jana imepita hatuwez
irudisha, kesho hatuna
utawala nayo, ila siku pekee
tuliyo na utawala nayo ni leo
Leo ndio muhimu
Unafanya
nini leo kwa ajili ya mipango
yako? Kitu unachofanya leo
ndio kinaonyesha kesho
utakuwa wapi Kama hakuna
unachofanya leo na
unategemea kufanya kesho
itakuwa ngumu sana kufikia
malengo na mipango yako
Kama una mpango wa
kuwekeza badae leo unafanya
nini kwa ajili ya huo mpango?
Kama una mpango wa
kuanzisha biashara leo
unafanya nini kwa ajili ya hiyo
biashara? Kama una mpango
wa kuwa mtu fulani ikifika
kipindi fulan leo unafanya
nini kuukamilisha mpango
wako

Friday, September 8, 2017

Wanawake Mnafanya makosa wenyewe mkiachwa mnalialia

Zipo sababu mbalimbali ambazo
huchangia mahusiano mengi ya
kimapenzi kufa na miongoni mwa
tabia hizo ni pamoja na zile tabia
ambazo wanawake hao wamekuwa
wakiziendekeza na miongoni mwa
tabia hizo ni kama ifutavyo;

1. Kauli mbaya kwa mmewe
Unakuta mwanamke
anarepu mbele ya mme
wake utafikiri kafingiwa
mota mdomoni

2. Uchafu Unakuta baadhi
ya wanawake akioga usiku
mpaka usiku mwingine.
Ngua ya ngani ukiangalia
utafikiri mafundi wapiga
plasta ukuta.

3. Kukataa kufanya tendo la
ndoa wakisingizia
wamechoka

4. Dharau.

5. Kuwa na michepuko ya
wanaume wa nje

6. Pesa Wanawake wakipata
pesa uona wanaume wao
si lolote

7. Elimu Mwanamke akisoma
na kumzidi mmewe basi
anaona hata tendo la ndoa
kufanyika maamuzi ni yake
mwenyewe
Upatikanaji wa
elimu kwa mwanamke
umesababisha mahudiano
mengi kufa

8. Madaraka Ukifanya utafiti
mdogo tu utakuta
wanawake walio wengi
wenye madaraka hawapo
kwenye ndoa. Wanaona
kupata madaraka basi na
masuala ya kimapebzi
hayana nafasi yena.

ANGALIZO;

Wanaume 18-22_waoji ni wachache,
wengi hapa wanaoa wasioenda
shule.

23-25 waoaji wapo ila ni wachache
wale wanaolipoliwa mahari na
wazazi wao.

26-30 hapa waoji ni wengi mno na
hulenga kuoa mabinti wa miaka 20-
24(most preferably).

30 onwards, hapa wanaume
hupungua sana, wamechanganyika
na WAGANE, MASINGLE DADS,
MICHEPUKO YA KIUME .
ONYO KWA WADADA;

Chonde chode, ndoa ni mhimu
sana siyo km mnavyodhania,
sababu ya upuuzi wenu wenda
msione haya nisemayo but
wahenga walishaniwahi na kusema
UJANA MAJI YA MOTO FINAL
UZEENI, siyo mbali hivyo at 30 yrs
mtakuja na majibu hapa.
Girls plan yr married for
betterment of yours and yr
children

Whatsapp No. 06751517185

Kabla hujasema jambo lolote
juu ya mafanikio ya mtu
uyaonayo sasa ni vema
ukahusianisha na historia ya
alikotokea

UMASIKINI WAKUJITAKIA

1. Unanunua nguo bila mpangilio
kuna watu wana nguo kama duka
Kuwa na nguo chache tu huwezi
kushindana na fashion.

2. Unanunua Viatu bila mpango,
viatu pia vinameza savings zetu,
nunua pea chache zenye ubora ili
zidumu.

3. Unatoa ofa bar bila mpango.
Nenda bar kwa bajeti mahususi.
Hakuna atakae kusifia kwa kutoa
ofa hovyo. Kila mbuzi ale kwa urefu
wa kamba yake. Jifunze ubepari.

4. Unatumia hela nyingi kwenye
simu ambazo sio productive.
Unaweka vifurushi vya week vya sh
7000 au 10000 ili uchati na
marafiki Fb au Whatsaap Huo ni
ujinga. Badilika.

5. Unakopa hela benki na kununua
vitu kama simu ya milioni na gari
ambazo sio productive. Unakosa
hela hata ya mafuta, gari la nini
kwanini usingewekeza sehemu ili
kuwe na mradi wa kuzalisha ndio
ununue gari?

6 .Una marafiki wengi ambao ni
mizigo kwako au hamuendani
kivipato hivyo unajikuta
unalazimika kutumia zaidi ya
kipato chako ili uwa-impress.
Meneja wa TRA na mwalimu wa
sekondari unatarajia utoe offer
mpaka umfurahishe Meneja?
Utabaki na sh ngapi toka kwenye
salary yako? Zinduka.

7. Huna timetable ya kudumu ya
maisha yako, unajikuta unaburuzwa
tu na marafiki zako kwa kwenda
sehemu mbalimbali za
matumizi.kuwa na ratiba za maisha
yako na zisimamie kikamilifu,
usiburuzwe!

8. Una michepuko inayokutegemea
wewe kwa kila kitu. Wanakuita ATM
wewe unakenua tu huzinduki.
Badilika.

9. Una huruma sana kuliko kipato
chako. Yaani kila ukiombwa unatoa
hata kama muombaji hana genuine
need. Usiwe mkristo kuliko Yesu.
Fanya hivyo kama ni lazima. Ila sio
kila anaekupiga mzinga unapigika.

10.Unatembea na hela nyingi
kwenye wallet au mshahara wote
kwenye wallet au handbag au
nyumbani kwako. Unapokuwa na
petty cash nyingi unatengeneza
mazingira ya kutumia hovyo.
Jifunze kuweka hela benki. Tembea
na hela tu unayoihitaji kwa
matumizi ya lazima.

Naamini tukizingatia kanuni hizi
kumi tutaongeza savings zetu na
kuwa na mtaji wa kufanya vitu
vikubwa endelevu

NB: MABADILIKO HUANZA NA
WEWE

IJUMAA MUBARAK

Nawatakia Ijumaa Mubarak
wapendwa wangu! Mungu
atujalie kheri za leo na siku
zijazo

Wednesday, September 6, 2017

USIJITENGE

=> Panya Mmoja Alimeza Dhahabu
Mmiliki Wa Ile Dhahabu Ikabidi
Amtafute Kijana Ili Amsaidie Kumuua
Panya Yule Aliemeza Dhahabu

=> Baada Ya Kijana Huyu Kufika Kwa
Mmiliki Wa Dhahabu, Akakuta Panya
Wengi Ila Mmoja Alikuwa Amejitenga
Pemben
Yule Kijana Akaamua
Kumuua Yule Panya Aliejitenga
Pemben Kwa Bahati Nzuri Ndie
Huyohuyo Aliekuwa Amemeza Ile
Dhahabu!..

=>Mmiliki Wa Dhahabu, Kwa
Mshangao Akamuuliza Kijana
Amewezaje Kumjua Yule Panya Kuwa
Ndie Aliemeza Dhahab Wakati
Kulikuwa Na Panya Wengi??

=>Yule Kijana Akajibu
Ni Kawaida
Tu, Kwani Hata Binadamu Akifanikiwa
Kimaisha Basi Hujitenga Na
Wengine Na Kuwaona Si Hadhi
Yake!...
____________FUNZO
Mungu Akikuinua Kimaisha, Usitumie
Nafasi Hiyo Kuwaumiza Au Kujitenga
Na Wengine Walio Na Kipato Cha
Chini Kwani Kujitenga Kwako Ndio
Inaweza Kuwa Chanzo Cha
Kushushwa Zaidi!

MUNGU AKUBARIKI

USIKUBAL KUSHINDWA MAPEMA

Kwa mujibu wa Biologia
baada ya tendo la kukutana
kimwili takribani mbegu
milioni 200 hadi 300
hutolewa na mwanaume…
halafu zote huanza kupiga
mbizi kuogelea kwenye njia
safarini kukutana na yai la
kike
Ajabu ya kwanza ni kwamba
sio zote 200 - 300 ambazo
hufanikiwa kulifikia yai
( nyingi huchoka na kufia
njiani maana si mashindano
ya mchezo mchezo)
Ajabu ya pili ni kwamba kati
ya hizi 300 zinazofanikiwa
kufikia yai ni moja tu..moja
tu itakayoshinda
nakufanikiwa kupenya na
kurutubisha yai, na kwa
mantiki hii ILIYOSHINDA NI
WEWE HAPO.

Umewahi kuwaza kuhusu hili
vizuri?
Yaani ulishindana mbio hizo
ukiwa huna macho na
ulishinda ulishindana bila
elimu na
ukashinda,ulishindana bila
hata cheti chochote wala
msaada wa yeyote ….na

UKASHINDA.
Nini kinachokufanya udhani
utashindwa sasa?
Tena sasa uko na macho
yote, miguu, sasa Unamjua
Mungu, sasa ukiwa na
mipango,ndoto na maono
Kumbuka ULISHASHINDA toka
tumboni huna sababu ya
kuwa na hofu yeyote
PAMBANA

JIPE MOYO KAMWE USIKATE TAMAA

Nilikuwa naangalia mpira wa
miguu katika uwanja wa
shule.
Nilipokaa Nilimuuliza kijana
mmoja juu ya Matokeo ya
mchezo.
Kwa tabasamu, alijibu "Wako
mbele yetu 3-0"!
Nikasema, Kweli!
Mbona huonekani kukata
tamaa..?
Kukata tamaa?
Yule mvulana aliuliza kwa
mshangao…."!?
Kwanini nikate tamaa wakati
bado refa hajapuliza kipenga
cha mwisho?

Nina imani na timu yangu na
meneja wa timu; Nina hakika
tutashinda!
Na kwel mchezo uliisha 5-4
timu ya kijana ikiwa mbele!
Alinipungia mkono taratibu,
na tabasamu zuri akiondoka
uwanjani; nilishangaa,
mdomo wazi, ujasiri mkuu
kiasi hiki such beautiful
faith
Nilipofika nyumbani usiku
ule swali lake lilizidi kuja
kwangu zaidi
"Kwanini niogope wakati refa
hajapuliza kipenga cha
mwisho?"

»»»Maisha ni kama mchezo
Kwanini ukate tamaa wakati
mwenyezi Mungu ndiye
meneja wako?
Kwanini ukate tamaa wakati
kungalipo uhai ndani yako?
Kwanini ukate tamaa wakati
kipenga chako cha mwisho
bado hakijapigwa?

Ukweli ni kwamba watu
wengi hujipulizia wenyewe
vipenga vyao vya mwisho.
Lakini maadamu ungalipo
uhai, hakuna
kisichowezekana muda
haujakuacha.
Nusu kipindi si kipindi
kizima na ratiba ya Mungu
kwa mwanadamu si ratiba ya
mwanadamu kwa Mungu
Usijipulizie kipenga chako
cha mwisho we mwenyewe

JIPE MOYO USIKATE TAMAA!
KWA MUNGU YOTE
YANAWEZEKANA.

KAMWE USIKATE TAMAA.

Mapenzi Ndivyo Yalivyo

Mapenzi ni kujitoa bila
kujitoa hujapenda
Kujitoa si
kwa pesa tu hata kwa muda
wako kumpigia simu
kumjulia hali, kumtia moyo
kumfaraji n. k
Kama huyaoni haya kwa
mpenzi wako au mpaka
ulalamike na umlazimishe
ndio afanye hayo
Tambua
mapema hapo hamna
upendo ni "KUMSUKUMA
PUNDA MZIGO UFIKE .. "

AFANYALO MUNGU HALINA MAKOSA

Mzee alikuwa akisafir huku mkono mmoja
alibeba jogoo na mwingine taa! katikati ya
safari yake giza lilianza kuingia hivyo
aliamua kuomba hifadhi kijiji cha jirani kwa
bahati mbaya hakuna aliye mkubalia mzee
akiwaza lakini akasema AFANYALO MUNGU
HALINA MAKOSA akaamua kwenda msituni
karibu na hicho kijij Akiwa amelala usiku ule
huku taa yake ikiwaka ghafla ulivuma upepo
mkali ukavunja taa kukawa giza kuu, mzee
aliinuka na kujisemea AFANYALO MUNGU
HALINA MAKOSA akaendelea kulala, Majira
ya saa nane usiku alishtuka na kukuta jogoo
wake hayupo vivyo hivyo akijisemea
AFANYALO MUNGU HALINA MAKOSA
Ilipofika asubuhi aliamka na kushangaa moshi
mkubwa katika kile kijiji Lo! kumbe kijiji
chote kimeteketea KUMBE angepokelewa
naye angeteketea Lo! KUMBE usiku ule
majambazi walipita karibu yake wangeona
mwanga wa taa wangeanza nayeye KUMBE
wale majambazi walitoka kijijin hapo saa
kumi angekuwepo yule jogoo angewika mida
hiyo wangejua huko kuna makazi na
kumteketeza,, AFANYALO MUNGU HALINA
MAKOSA!..mshukuru Mungu kwa kila jambo

Monday, September 4, 2017

JIWEKEE MISINGI BORA

Hakuna anayejua nini kitatokea
kesho isipokuwa tuna imani na yale
tuliyopanga yatakwenda vizuri kama
tunavyotaka yawe. Huwezi sema sina
furaha leo kwasababu sina kitu
fulani au mpaka jambo fulani litimie
Ukifanya hivyo utakuwa unakosea
kwani maisha ndio sasa na sio
baaadae
Kila wakati jiweke safi na
jisikie furaha kama unavyotaka jione
wewe ni kama kioo ya kile
unachotamani kutimiza katika ndoto
zako na kwa kufanya hivyo utakuwa
mwenye furaha na maisha yako huku
ukiendelea kujibidiisha na kufuata
ndoto zako ulizojiwekea kwa kuwa
mvumilivu na ipo siku ndoto zako
zitatimia na kuwa kweli

MAISHA ENDELEVU

Maisha ni safari ndefu ungependa
kuishi maisha ya namna gani? Jibu
unalo mwenyewe kwakuwa wewe
ndiye mwenye maamuzi ya kujua nini
unataka
Safari ya maisha hutafsirika
vizuri kutokana na mafanikio na
makosa ya mtu aliyopitia
Safari hii ni ya kujifunza
kujirekebisha na kukua imara zaid
Safari yenyewe huusisha yale
tuliyoshinda na yale tuliyopoteza
pia. Kujifunza kunahusu kufanya
makosa na kujisamehe kwa yale
tuliyokosea
Kwa kujifunza makosa
hayo tunatakiwa kusonga mbele na
kuyaendea malengo tuliyojiwekea Nihayoo tu

By Utawala Mnete'z Son

NI KWANINI UKAE UKISUBIRI FURSA? TENGENEZA FURSA ZAKO MWENYEWE KWA KUFANYA HAYA YAFUATAYO

Tambua mipaka yako - Huwezi kuwa
mkamilifu.
Huwezi kufanya kila kitu
mwenyewe
Huwezi kujenga biashara au
kuishi maisha ya ndoto yako au kufanya
mengi ya fedha kama haujaweza kujua
udhaifu wako uwezo na tamaa zako .
Kama unajua mipaka yako na upi ni
uwezo wako ,utakuwa kwenye nafasi
nzur ya kujua hasa ni nini
unahitaji.Pia kujijua na kugundua
udhaifu wako kunakupa nafasi ya
kuujaza udhaifu wako kwa kutumia
uimara wa watu wengine
Fungua macho yak Kuna mengi zaidi
yanatokea katika ulimwengu kuliko
ambavyo unavyoweza kuona. Acha
kusikiliza muziki wakati wote,

UNAPASWA KUJICHANGANYA NA
WENZAKO KUJIFUNZA ZAI

Hauwez jua
labda kuna mtu ambaye anaweza
kubadilisha maisha yako kwa namna
moja ama nyingin
Hauwez jua labda
mtu aliyeketi karibu na wewe kwenye
daradara na penginepo ni biashara yako
ijayo mpenzi mume wako / mke au rafiki
yako mpya bora
Hauwez jua, maisha
hayatabirik, hivyo unapaswa daima
kuweka macho yako wazi
Unaweza
kuzikosa fursa kwa sababu tu wewe upo
busy sana kusikiliza iPod yako au hiyo
subwoofer yako ukizisubir fursa/bahati.
Fungua macho yako jifunze ata kunywa
kahawa , au kutembea kwa miguu
kurudi nyumbani ili kuapata fursa ya
kujifunza mawazo mapya.
Usiogope kuuliza
Usiogope ! Hakuna
aibu kutokujua kitu, na hakuna aibu
kuhoji jambo ili kujifunza.Kuna jamaa
yangu alipata kazi kampuni A kwa
kuuliza tu jambo X Alimuliza meneja
kama anaweza akapata nafasi ya kufanya
kazi na hiyo kampuni A,kilichotokea
meneja akamuhoji kidogo na kugundua
ni mtu sahii kwake akampatia
kazi.Kiufupi ni kwamba amepata kazi
kwenye kampuni ambayo haikutangaza
kazi ila kuuliza kwake kumempa fursa
ambayo asingeipata kama angeisubir
Jenga kujiamini-
Unapaswa kuwa jasiri
ili watu wakuamini . Hiyo unahitaji
kujiamini na kujenga ujasir 120% kwa
kile unachokidhamiria.Kumbuka watu
wengi huwafuata viongozi wao hata
wakati ambao viongozi hao hufanya
maamuzi mabaya ,lakini wanawafuata
kwa sababu ya imani na status ambazo
wamezijenga viongozi hao. Hivyo basi
kama unaweza kujenga kujiamini na
ujasir unaweza kufanya watu kukufuata
na kukuamini hivyo kuweza kupata
kujenga fursa nyingi zaid kwa ajili yako/
kampuni yako/au sehemu yako ya kazi
Endelea kujifunza .-
Kujifunza ni
mchakato ambao hauna mwisho . Daima
unaweza kujifunza kitu kipya. Daima
dumisha mtazamo wa kuwa mwanafunzi
wa mambo mapya ili kujenga fursa
nyingi zaid. Kama unafikiri imetosha
kujifunza basi jua unajikwamisha , lakini
kama una mengi ya kufanikiwa katika
maisha yako , katika nyanja zote,basi jua
unapaswa kujifunza mambo mapya kila
siku.

Mwisho tambua kamwe hauwezi kupata
fursa kwa kukaa na kuangalia TV siku
zote au kusikiliza mziki kwenye ipad yako
kila siku. Nenda nje kajichanganye ,
jenga hisia na tazama watu
wanachofanya na kujifunza then
jitengenezee fursa katika maisha yako.
Kama wewe ni mtu active na mwenye
mitazamo chanya basi jua mara zote
utaishia mahali sahihi katika wakati
sahh
Asanteni

NB: Kiswahili ni lugha yetu naomba
mnisamehe kama kuna sehemu
nimechapia maana hii lugha nayo
unaweza ukasema kura kumbe
kula unaweza ukasema kurara kumbe
kulala

TUJIFUNZE KITU HAPA KUPITIA JARIBU HILI


Mkulima mmoja alikuwa na Punda ...Punda
aliyedumu nae kwa miaka mingi sana
aliyemsaidia shughuli za kilimo na
uchukuzi..alikaa naye toka akiwa mtoto
mpaka punda akawa mzee kabisa.
Siku moja wakiwa wanatoka shambani, kwa
bahati mbaya yule punda alitumbukia kwenye
kisima kirefu sana ambacho kwa wakati ule
kilikuwa kimekauka.
Yule Mkulima akawaza sana atafanyaje
kumtoa yule punda..na baada ya kutafakari
sana akasema kwanza hata hivyo huyu punda
ameshazeeka ni hasara kuingia gharama za
kumtoa...akaona vema tu amzike humo humo
Akaenda kuita majirani ,wakaja na sepetu
wakaanza kumwagia udongo ,mchaka na
kokoto shimoni kumfukia.
Mwanzoni tu ni kama punda alijua
kinachoendelea..akapaza sauti na kulia kwa
sauti kali ajabu..sauti ya malalamiko...ha
wakujali waliendelea kufukia..kwa kutupia kila
aina ya taka taka
Baadae kidogo kwa mshangao wa wengi
ghafla punda alinyamaza kimya kabisa sauti
ikapotea....baada ya kutupia taka
kadhaa..mkulima yule akaamua kuchungulia
shimoni....Alistushwa mno na alichokiona
Kila taka na mchanga ulipokuwa ukiangukia
mgongoni mwa punda...alikuwa akifanya kitu
cha kushangaza.
Kila udongo ulipomwangukia..alijitingisha
ukamwagika na akaukanyaga akainuka juu
kidogo...kila ulipokuja aliendelea kufanya
hivyo hivyo..hatimaye baada ya Muda
mkulima na majirani walishangaa kuona
amefika juu kabisa ya ukingo wa kisima na
akatoka kwa furaha kabisaa.
Kuna wakati maisha yanakurushia matakataka
ya kila aina,acha kulia na kupiga kelele,
jitingishe...yafanye ngazi..Kila jaribu
linalotupata ni ngazi ya kupandia.
Kamwe hatuwezi toka kwenye visima virefu
kwa kulia peke yake..bali kwa kupambana
kuchomoka.
Wacha waone uko kimya baada ya
makombora waliokurushia...yatake
yapange..yafanye ngazi ya kupandia...
Changamoto yeyote unayopitia sasa...ni
shimo na michanga..sisi ni zaidi ya
punda..acha kulia, jikung`ute, yakanyage
,nyanyuka juu, toka Kanyaga Twende

KITAMBO-SANA-SCUL-IKWIRIRI

Sisi wanafunzi wa enzi zile tulipokuwa shule
ya msingi tulifanya haya hebu vuta hisia
kidogo uwakumbuke wadau wako wa nguvu
wa enzi hizo

1.Unaenda shule umechelewa unakuta
mwalim anakamata wachelewaj unaamua
urudi nyumbani
2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua
sakafuni af unamuunguza mwenzio
3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa
kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban
4.MTU akikukera unamfungia shule
(mnapigana baada ya kufunga shule)
5.MTU akikunyima kitu chake unamwambia
"Ahaa eeh utaona sa nne"
6.wadada wembamba ndo wanaongoza kwa
kusuta wenzao
7.ukiibiwa daftar jipya unalia kuliko hata
uliloandika
8.unajaza mapeni kwenye mkebe(compass)
na mengine hayaandiki
9.vifaa vingine kwenye mkebe hujawahi hata
kuvitumia mfano bikari labda utolee mwiba
10.hakuna habari nzur kama kuambiwa Leo
hamna shule mwalim haupo
11.habari mbaya zaidi n kurud nyumban
kutoka shule una njaa af unaambiwa chakula
mgeni kaja tumempa
12.mtoto wa mwalim utamgundua tu kwanzia
sweta begi na viatu vyake
13.usiombee umpige mtoto wa mwalim
utataman uache shule
14.unatengeneza kifutio cha ndala af
unatishia eti kinafuta hadi peni
15.ukaguzi na huna ufagio.. unaomba
chelewa kwa watu af unaongeza kijiti katikati
16.siku ukienda na ufagio wanakagua maji,
ukienda na naji wanakagua kuni au mbolea

Dah shule zetu hizi kiboko!!
Ipi umeipitia wewe

USILOLIJUA KUHUSU TEMBO

USILOLIJUA KUHUSU TEMBO
1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake,
akitembea hana kishindo kabisa Miguu yake
kwa chini ni kama ina sponji hivi
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na
maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27 ukimuona
wakati anafanya mapenzi kwa nyuma
unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao
hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka
60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12.
Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa
mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli
yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza
(bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili
mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni
ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE
UNAELEWA

Gego Mnete____Jiwe-Gizani

Unatamani upate Mwenza wako,
yaani mke au mume, lakini unajiuliza mbona
kila uhusiano ukianza unaishia njiani na hujui
sa7bu
Nakwambia hiviii:
jichunguze kwanza.na Usikimbilie kwenda
kuombewa, kumtafuta mchawi kwa kusikiliza
maneno ya wapambe (hivi siku hizi wapambe
sio nuksi?) au kwenda kwa waganga ambao
watakulia pesa zako wakidai wana dawa ya
kurudisha mpenzi!
Kama una tabia ya kuomba omba ela wakati
ndio kwanza mahusiano yanaanza hapo
mwanamke lazima ile kwako , wanaume
hawapendi wanaomba omba ela ktk mwanzo
wa mahusiano, JICHUNGUZE
kama una tabia ya kila anapokupigia
mtarajiwa wako ukipokea simu cha kwanza ni
kuomba ela ya vocha alafu akikutumia wewe
ni kubeeb tu.JICHUNGUZE.
Kama una tabia ya ukali wa ajabu ajabu, kitu
kidogo tu ushatoa maneno kibao makali -
hujui maneno yanachoma kuliko upanga?
Tena hakuna yanayochoma zaidi kuliko
maneno makali toka kwa yule umpendaye.
Halafu ukiombwa msamaha ni mgumu kama
nini kusamehe. JICHUNGUZE
Kama ukikosea mwenzako akakwambia,
unakimbilia kununa na kukata mawasiliano,
utafikiri wewe haukosei. JICHUNGUZE.
Kama una wivu uliovuka mipaka. Ukimwona
mwenzio anaongea na mtu wa jinsia
nyingine, tena mahali pa wazi tu, unaanza
kuwa na mawazo ya ajabu ajabu na
kumwuliza maswali yasiyokuwa na kichwa
wala miguu.JICHUNGUZE
Kwani unadhani kabla hajakufahamu alikuwa
anaishi katika dunia ya watu wa jinsia yake
tu? Si nakuuliza wewe mwenye hii tabia?
JICHUNGUZE.
Kama kila mkiongozana kwenda shop au
kuwasiliana na mwenzako unachofanya ni
kutoa orodha ndeefu ya mahitaji, ambayo
yote yanahitaji pesa.Hata siku moja hujawahi
hata kum surprise kwa kumtumia hata ka elfu
mbili kwenye Mpesa, Tigopesa, Airtel money
na namba yake umeikariri kama sala huwezi
kusema huikumbuki! JICHUNGUZE

Gego Mnete: VIDEO | Saida Karoli Ft. Belle 9 & G Nako - Kichaka | Watch/Download

Gego Mnete: VIDEO | Saida Karoli Ft. Belle 9 & G Nako - Kichaka | Watch/Download

KUWA MUELEWA

Tendo la ngono linaleta faraja ila haliwezi
kuleta upendo
Sex ni zao la mapenz
mapenzi sio zao la sex Amn hvyoo

DJ Mwanga: AUDIO | Mnete'z Son - Gm | Download

Mnete'z Son

Monday, July 3, 2017

Ukiamka salama ni jambo la kumshukulu MUNGU kwan yy ndo
kila kitu ktk maisha yetu

Saturday, June 10, 2017

KUAMINI

Nakuamin ni sifa nzuri kuliko nakupenda kwa
sa7bu huwezi kumwamin mtu
usiempenda lakin utampenda mtu
unayemwamin

Saturday, May 13, 2017

Usipo ona umuhimu wa mwenzako na kujiona
wewe ni bora kuliko mwingine ni hatari kwani
huwezi kuwa bora bila mwingine
Hata mkono una vidole vitano pamoja na
kutolingana lakini hakuna kinachoweza kuziba
pengo la mwingine na kikaweza pia kubaki
kwenye nafasi yake pasipo kuacha pengo!!
Hivyo kila kimoja kinathamani yke na Mfumo wa maisha uko hvyo hvyo kam vidole unawez uka pand juu badae ukashuk uwez kuwa juu milele πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
Ni baadhi ya mitaa/maeneo inayopatika ikwiriri pwani MNYONGE
MAMB NILIYOJIFUNZA KIPIND HKI
#Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
#Bila bobodabo Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazin
#Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msing
#Nyama ni mbaya kwa Afya yko
#Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizur sana
#Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii tu😁😁
#Ugali pia kumbe ni breakfast (kifungua kinywa)
#Ukioga na sabun ya Kipande kumbe bado unaKuwa msafi

 hahahahah ahsante babaaa kaz kamb hvyo hvyoo😁😁😁😁

Saturday, February 18, 2017

ISHI NA NDOTO YAKO

Usishindane na watu bali shindana na mipango yako. Ukitaka kuishi kwa furaha, mafanikio ya watu wengine yasikusukume ukaanza kushindana nao. Kushindana na watu wengine ni ukosefu wa hekima, unaoweza kukutoa kwenye mstari wa mafanikio unayoyataka. Kila mtu anaishi ndoto zake unajua

KUWA NA MTAZAMO

Kuwa na mtazamo chanya kwa kila unachofanya, amini katika ushindi hata wakati unaelekea kushindwa. Fukuza kila hisia za huzuni ndani yako, usipoteze muda kufikiria mambo yaliyokuumiza, fikiri juu ya mazuri unayoyatarajia

MAISHA

Katika maisha kunamajanga mengi sana na
mapito ya kila aina, lakini haimaanishi kuwa
tuyazoee na kuyapuuza bali tunapaswa
kufunguka na kujitambua. Unaweza kujiuliza
swali hili mara kwa mara "Kwanini Mimi?" (Why
Me?). Ni rahisi sana kupata muafaka wa
matatizo yako endapo utajitambua kuwa wewe
ni nani katika familia yako na jamii yako pia
Achana na mambo ya kubebewa akili, wewe
kwanza mwingine baadaye! Kwanini umfikirie
mtu ambaye ni sumu katika maisha yako? Mtu
ambaye atakusababishia ushindwe kufanya
kazi vyema na mwisho wa siku ajira yako iote
mbawa?
Jipe nafasi ya kwanza, jifikirie wewe na
maisha yako, angalia mipango yako ya
baadaye. Kwanini iharibike kwa sababu ya
mapenzi? Kwani ameumbwa yeye peke

Thursday, February 16, 2017

Kwenye maisha kuna
leo na kesho kwenye
maisha kuna
changamotokwenye
maisha kuna
rahakwenye maisha
kuna shida kwenye
maisha kuna kupata
na kukosa Haya yote
unabudi huyatambue
ili uweze songa
mbele
Ukiyajua haya
uta teteleka
utasimama imara kwa
lolote litakalo kufika

uvivu wa kufikiria
Mungu ashughuliki na ww maana ushakuwa kilazaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jitoe
pambana kwaajili ya maisha yako
utafanikiwan nasio unitolee mie😳😳😳😳 hpaaaa