Wednesday, September 6, 2017

Mapenzi Ndivyo Yalivyo

Mapenzi ni kujitoa bila
kujitoa hujapenda
Kujitoa si
kwa pesa tu hata kwa muda
wako kumpigia simu
kumjulia hali, kumtia moyo
kumfaraji n. k
Kama huyaoni haya kwa
mpenzi wako au mpaka
ulalamike na umlazimishe
ndio afanye hayo
Tambua
mapema hapo hamna
upendo ni "KUMSUKUMA
PUNDA MZIGO UFIKE .. "

No comments:

Post a Comment