Tambua mipaka yako - Huwezi kuwa
mkamilifu.
Huwezi kufanya kila kitu
mwenyewe
Huwezi kujenga biashara au
kuishi maisha ya ndoto yako au kufanya
mengi ya fedha kama haujaweza kujua
udhaifu wako uwezo na tamaa zako .
Kama unajua mipaka yako na upi ni
uwezo wako ,utakuwa kwenye nafasi
nzur ya kujua hasa ni nini
unahitaji.Pia kujijua na kugundua
udhaifu wako kunakupa nafasi ya
kuujaza udhaifu wako kwa kutumia
uimara wa watu wengine
Fungua macho yak Kuna mengi zaidi
yanatokea katika ulimwengu kuliko
ambavyo unavyoweza kuona. Acha
kusikiliza muziki wakati wote,
UNAPASWA KUJICHANGANYA NA
WENZAKO KUJIFUNZA ZAI
Hauwez jua
labda kuna mtu ambaye anaweza
kubadilisha maisha yako kwa namna
moja ama nyingin
Hauwez jua labda
mtu aliyeketi karibu na wewe kwenye
daradara na penginepo ni biashara yako
ijayo mpenzi mume wako / mke au rafiki
yako mpya bora
Hauwez jua, maisha
hayatabirik, hivyo unapaswa daima
kuweka macho yako wazi
Unaweza
kuzikosa fursa kwa sababu tu wewe upo
busy sana kusikiliza iPod yako au hiyo
subwoofer yako ukizisubir fursa/bahati.
Fungua macho yako jifunze ata kunywa
kahawa , au kutembea kwa miguu
kurudi nyumbani ili kuapata fursa ya
kujifunza mawazo mapya.
Usiogope kuuliza
Usiogope ! Hakuna
aibu kutokujua kitu, na hakuna aibu
kuhoji jambo ili kujifunza.Kuna jamaa
yangu alipata kazi kampuni A kwa
kuuliza tu jambo X Alimuliza meneja
kama anaweza akapata nafasi ya kufanya
kazi na hiyo kampuni A,kilichotokea
meneja akamuhoji kidogo na kugundua
ni mtu sahii kwake akampatia
kazi.Kiufupi ni kwamba amepata kazi
kwenye kampuni ambayo haikutangaza
kazi ila kuuliza kwake kumempa fursa
ambayo asingeipata kama angeisubir
Jenga kujiamini-
Unapaswa kuwa jasiri
ili watu wakuamini . Hiyo unahitaji
kujiamini na kujenga ujasir 120% kwa
kile unachokidhamiria.Kumbuka watu
wengi huwafuata viongozi wao hata
wakati ambao viongozi hao hufanya
maamuzi mabaya ,lakini wanawafuata
kwa sababu ya imani na status ambazo
wamezijenga viongozi hao. Hivyo basi
kama unaweza kujenga kujiamini na
ujasir unaweza kufanya watu kukufuata
na kukuamini hivyo kuweza kupata
kujenga fursa nyingi zaid kwa ajili yako/
kampuni yako/au sehemu yako ya kazi
Endelea kujifunza .-
Kujifunza ni
mchakato ambao hauna mwisho . Daima
unaweza kujifunza kitu kipya. Daima
dumisha mtazamo wa kuwa mwanafunzi
wa mambo mapya ili kujenga fursa
nyingi zaid. Kama unafikiri imetosha
kujifunza basi jua unajikwamisha , lakini
kama una mengi ya kufanikiwa katika
maisha yako , katika nyanja zote,basi jua
unapaswa kujifunza mambo mapya kila
siku.
Mwisho tambua kamwe hauwezi kupata
fursa kwa kukaa na kuangalia TV siku
zote au kusikiliza mziki kwenye ipad yako
kila siku. Nenda nje kajichanganye ,
jenga hisia na tazama watu
wanachofanya na kujifunza then
jitengenezee fursa katika maisha yako.
Kama wewe ni mtu active na mwenye
mitazamo chanya basi jua mara zote
utaishia mahali sahihi katika wakati
sahh
Asanteni
NB: Kiswahili ni lugha yetu naomba
mnisamehe kama kuna sehemu
nimechapia maana hii lugha nayo
unaweza ukasema kura kumbe
kula unaweza ukasema kurara kumbe
kulala
No comments:
Post a Comment