Maisha ni safari ndefu ungependa
kuishi maisha ya namna gani? Jibu
unalo mwenyewe kwakuwa wewe
ndiye mwenye maamuzi ya kujua nini
unataka
Safari ya maisha hutafsirika
vizuri kutokana na mafanikio na
makosa ya mtu aliyopitia
Safari hii ni ya kujifunza
kujirekebisha na kukua imara zaid
Safari yenyewe huusisha yale
tuliyoshinda na yale tuliyopoteza
pia. Kujifunza kunahusu kufanya
makosa na kujisamehe kwa yale
tuliyokosea
Kwa kujifunza makosa
hayo tunatakiwa kusonga mbele na
kuyaendea malengo tuliyojiwekea Nihayoo tu
By Utawala Mnete'z Son
No comments:
Post a Comment