Wednesday, September 6, 2017

USIKUBAL KUSHINDWA MAPEMA

Kwa mujibu wa Biologia
baada ya tendo la kukutana
kimwili takribani mbegu
milioni 200 hadi 300
hutolewa na mwanaume…
halafu zote huanza kupiga
mbizi kuogelea kwenye njia
safarini kukutana na yai la
kike
Ajabu ya kwanza ni kwamba
sio zote 200 - 300 ambazo
hufanikiwa kulifikia yai
( nyingi huchoka na kufia
njiani maana si mashindano
ya mchezo mchezo)
Ajabu ya pili ni kwamba kati
ya hizi 300 zinazofanikiwa
kufikia yai ni moja tu..moja
tu itakayoshinda
nakufanikiwa kupenya na
kurutubisha yai, na kwa
mantiki hii ILIYOSHINDA NI
WEWE HAPO.

Umewahi kuwaza kuhusu hili
vizuri?
Yaani ulishindana mbio hizo
ukiwa huna macho na
ulishinda ulishindana bila
elimu na
ukashinda,ulishindana bila
hata cheti chochote wala
msaada wa yeyote ….na

UKASHINDA.
Nini kinachokufanya udhani
utashindwa sasa?
Tena sasa uko na macho
yote, miguu, sasa Unamjua
Mungu, sasa ukiwa na
mipango,ndoto na maono
Kumbuka ULISHASHINDA toka
tumboni huna sababu ya
kuwa na hofu yeyote
PAMBANA

No comments:

Post a Comment