Monday, September 4, 2017

JIWEKEE MISINGI BORA

Hakuna anayejua nini kitatokea
kesho isipokuwa tuna imani na yale
tuliyopanga yatakwenda vizuri kama
tunavyotaka yawe. Huwezi sema sina
furaha leo kwasababu sina kitu
fulani au mpaka jambo fulani litimie
Ukifanya hivyo utakuwa unakosea
kwani maisha ndio sasa na sio
baaadae
Kila wakati jiweke safi na
jisikie furaha kama unavyotaka jione
wewe ni kama kioo ya kile
unachotamani kutimiza katika ndoto
zako na kwa kufanya hivyo utakuwa
mwenye furaha na maisha yako huku
ukiendelea kujibidiisha na kufuata
ndoto zako ulizojiwekea kwa kuwa
mvumilivu na ipo siku ndoto zako
zitatimia na kuwa kweli

No comments:

Post a Comment