=> Panya Mmoja Alimeza Dhahabu
Mmiliki Wa Ile Dhahabu Ikabidi
Amtafute Kijana Ili Amsaidie Kumuua
Panya Yule Aliemeza Dhahabu
=> Baada Ya Kijana Huyu Kufika Kwa
Mmiliki Wa Dhahabu, Akakuta Panya
Wengi Ila Mmoja Alikuwa Amejitenga
Pemben
Yule Kijana Akaamua
Kumuua Yule Panya Aliejitenga
Pemben Kwa Bahati Nzuri Ndie
Huyohuyo Aliekuwa Amemeza Ile
Dhahabu!..
=>Mmiliki Wa Dhahabu, Kwa
Mshangao Akamuuliza Kijana
Amewezaje Kumjua Yule Panya Kuwa
Ndie Aliemeza Dhahab Wakati
Kulikuwa Na Panya Wengi??
=>Yule Kijana Akajibu
Ni Kawaida
Tu, Kwani Hata Binadamu Akifanikiwa
Kimaisha Basi Hujitenga Na
Wengine Na Kuwaona Si Hadhi
Yake!...
____________FUNZO
Mungu Akikuinua Kimaisha, Usitumie
Nafasi Hiyo Kuwaumiza Au Kujitenga
Na Wengine Walio Na Kipato Cha
Chini Kwani Kujitenga Kwako Ndio
Inaweza Kuwa Chanzo Cha
Kushushwa Zaidi!
MUNGU AKUBARIKI
No comments:
Post a Comment