Saturday, May 13, 2017

Usipo ona umuhimu wa mwenzako na kujiona
wewe ni bora kuliko mwingine ni hatari kwani
huwezi kuwa bora bila mwingine
Hata mkono una vidole vitano pamoja na
kutolingana lakini hakuna kinachoweza kuziba
pengo la mwingine na kikaweza pia kubaki
kwenye nafasi yake pasipo kuacha pengo!!
Hivyo kila kimoja kinathamani yke na Mfumo wa maisha uko hvyo hvyo kam vidole unawez uka pand juu badae ukashuk uwez kuwa juu milele 👊👊👊👊👊

No comments:

Post a Comment