Usishindane na watu bali shindana na mipango yako. Ukitaka kuishi kwa furaha,
mafanikio ya watu wengine yasikusukume ukaanza kushindana nao. Kushindana na
watu wengine ni ukosefu wa hekima, unaoweza kukutoa kwenye mstari wa mafanikio
unayoyataka. Kila mtu anaishi ndoto zake unajua
No comments:
Post a Comment