Sunday, April 14, 2019

Amebarikiwa Kila Mmoja wetu Aliyefanikiwa Kuiona Siku Ya Leo. Mungu akatufanyie Wepesi Kwenye Mihangaiko Yetu.
Amen.

Thursday, April 11, 2019

WANAUME

Sisi Wanaume Wenye Sura Mbaya na Vichwa Vikubwa,
Huwaga Hatucheat.. Kwasababu
Tunajua Ugumu Wa Kupata Demu Mwengine..😂😂

FACEBOOK

Wanawake wa Tanzania 🇹🇿 mliopo Facebook naomba mjitahidi
Picha mnazoweka kwenye profile iendane na muonekano wako halisi 👩🏻‍🦱👩🏿‍🦰👱🏻‍♀️ Hii ni mara ya Sita sasa Napoteza nauli yangu tu Naomba mzingatie tafadhalini sana

Kidemu Cha Ukweli Etiii,


Ubber/Taxify

Zimekuja Kuwapa Jeuri Sana Mademu!! Yaani SikuHizi Kuwa Na Ndinga Sio Silaha Ya Kumng'oa Bebe Kabisa!!

MNETE


FAHAMU!!

Hakuna Maisha Bora kwa kijana asiye Jitunza
Hakuna Maisha Bora kwa Kijana asiye Jifunza...

KU-FAKE MAISHA

Unapo Fake Na Kuacha Kabisa Uhalisia Wa
Maisha Yako Tambua Umeamua Kuwa
Mtumwa Wa Maisha ya Wengine..

BILI YA MAJI

Ushawai letewa Bill Ya Maji ikabidi uzunguke
Nyumba nzima uone kama Kuna
Swimming pool limejificha 😃😃😃

R A M A D A N 🌙 I S C O M I N G ❤️

May Allah ﷻ allow us to reach the month of Ramadan and may our sins to be forgiven, less than a month to go!

Dar Es Salaam

Throwing it back to Dar-es-Salaam’s sunrise moment

What a beautiful start to a day...