Sunday, December 22, 2019
MUDA
Kupuuzia Kitu Chochote Ambacho Hakina Msingi Katika Maisha Yako Ni Sehemu Ya Kutunza Muda Wako Vizuri
Tuesday, December 10, 2019
SOMA HII
Kama huna nia ya kumsaidia mtu usitafute visingizio.
Unaanza kumjaji mtu profile picha yake, anacho post, watu alio wafollow, muda anaotumia kuwa online, user name anayoitumia, unacho like na kucomment.
Haya yote ya nini, yani awe mtumwa kwako kwa ahadi ya kumpatia mchongo
TUKAE HUMO
Dharau si jambo jema, ila kuna vitu uki vidharau basi dharau hiyo hugeuka kuwa jambo jema.
Kuna dharau positive na dharau negative.
KIJIWEN
Ukipewa ushauri kijiweni kuhusu jambo fulani, jitahidi ulifanyie kazi fasta hilo jambo. Kijiweni sio nyumbani kwenu ambapo jambo moja linarudiwa rudiwa kila ukiamka.
Wahuni hawanaga muda wa kurudia rudia ushauri, wakiutoa wamesha malizana na wewe
JITAMBUE
Kwenye Maisha Kuna Vitu Flani Hivi Usipoamua Kuachana Navyo, Itakuchukua Muda Sana Kupata Maendeleo..
JITAMBUE
Kuna wakati Macho yako
yanatamani kuona kile ambacho ubongo wako
unawaza lakini hata ukifumbua kwa nguvu kiasi
gani huwezi kuona hali hiyo tunaiita Upofu wa
Fikra, Katika kila mbio kila mmoja ana speed yake
katika kufikia kile ambacho anakikimbiza
haijalishi ni wangapi waliokikimbiza na kukipata
ila cha muhumu ni kuongeza Speed ili tu na wewe
ukipate, Maisha ni sawa na Muziki unaopigwa
Night Club na Dj Mzuri ila kila mmoja ana aina ya
uchezaji wake (Style) ila mwisho wa siku kila
mmoja anatengeneza Furaha yake. Usiige furaha
ya Mwenzako (Lifestyle) sababu haiwezi
kukufurahisha wewe kama vile inavyomfurahisha
yeye, Talanta huumba Brand Thabiti yenye kuruka
wenye kunakili na kukufuata wewe bila
kuilazimishia.

MAPENZI
Mapenzi hayalazimishwagi bali yanajengwa,
Fikiria zaidi AMANI kuliko hata FURAHA maana
usipoipa AMANI NAFSI YAKO kamwe hutokaa
uione FURAHA
Maana FURAHA NA AMANI ni pacha wasiofanana
Fikiria zaidi AMANI kuliko hata FURAHA maana
usipoipa AMANI NAFSI YAKO kamwe hutokaa
uione FURAHA
Maana FURAHA NA AMANI ni pacha wasiofanana
MAISHA
katika maisha binadam tunapitia mengi sana adi
kufika pale unapostahili kuwa
kwenya maisha kuna changamoto nying sana
ambazo unatakiwa kuzikabili
na kweny maisha amin kwamba kila linalokuja
bas lilipangwa litokee usiwe mwepes wa kulaum
wala kulipa kisasi kwani huwez jua labda ulipo
sasahiv bila hichokisas unacholipa usingekua
hapo ulipo haijalish pazur au pabay lakin tambua
ndo njia ya kufika unapostahili kuwa.kikubwa na
cha msingi ni kuangalia kwa jicho la3 na kutafuta
njia ya kusolve na si kuandaa vita itakayo gharim
nafs yako kutokuwa na amani

GM
Kulazimisha MAPENZI kwa Mtu ambaye hajui alikupenda lini na lini aliacha kukupenda ni Sawa na kuwasha MSHUMAA kwenye UPEPO Yaani kama hujakinga mikono yako UPEPO usiyumbishe uwakaji wa mshumaa lazima mshumaa utazima!
FAHAMU
Wakati unamlinganisha baba na Mama kudai Mama ni Bora kuliko baba shukuru baba kwa kukuchagulia Mama aliye bora
Thursday, July 4, 2019
Saturday, May 18, 2019
Sunday, May 12, 2019
Saturday, May 11, 2019
ELIMIKA
Mti hauli Matunda Yake, Lakini Haijawahi Kugoma
Kuzaa Kisa Matunda Yake Huliwa Na Wengine Tufanye Kazi Kama Mti Bila Kuangalia Matunda Yetu Yataliwa Na Nani Tutafika Mbali
Kuzaa Kisa Matunda Yake Huliwa Na Wengine Tufanye Kazi Kama Mti Bila Kuangalia Matunda Yetu Yataliwa Na Nani Tutafika Mbali
ELIMIKA
Usiangalie ubaya ndani ya mtu kabla ya kutazama uzuri alioubeba.
Hata saa mbovu husema ukweli mara mbili ndani ya saa 24.
RAMADAN-KAREEM
#RAMADANKAREEM
"Eeh MwenyeziMungu Nakuomba..
Aliyepoteza Matumaini Mpe Imani,
Aliyekosa Furaha Mpe Furaha,
Aliyekosa Kazi Mpe Kazi,
Aliyekosa Upendo Mpe Amani Ya Moyo,
Muinue Aliyeanguka, Watetee Wanyonge Na Mrejeshee Aliyepokonywa."
Thursday, April 11, 2019
Wanawake wa Tanzania mliopo Facebook naomba mjitahidi
Picha mnazoweka kwenye profile iendane na muonekano wako halisi Hii ni mara ya Sita sasa Napoteza nauli yangu tu Naomba mzingatie tafadhalini sana
Picha mnazoweka kwenye profile iendane na muonekano wako halisi Hii ni mara ya Sita sasa Napoteza nauli yangu tu Naomba mzingatie tafadhalini sana
Ubber/Taxify
Zimekuja Kuwapa Jeuri Sana Mademu!!
Yaani SikuHizi Kuwa Na Ndinga Sio Silaha Ya Kumng'oa Bebe Kabisa!!
KU-FAKE MAISHA
Unapo Fake Na Kuacha Kabisa Uhalisia Wa
Maisha Yako Tambua Umeamua Kuwa
Mtumwa Wa Maisha ya Wengine..
Maisha Yako Tambua Umeamua Kuwa
Mtumwa Wa Maisha ya Wengine..
BILI YA MAJI
Ushawai letewa Bill Ya Maji ikabidi uzunguke
Nyumba nzima uone kama Kuna
Nyumba nzima uone kama Kuna
Swimming pool limejificha
R A M A D A N 🌙 I S C O M I N G ❤️
May Allah ﷻ allow us to reach the month of Ramadan and may our sins to be forgiven, less than a month to go!
Wednesday, April 10, 2019
Subscribe to:
Posts (Atom)