Usipo ona umuhimu wa mwenzako na kujiona
wewe ni bora kuliko mwingine ni hatari kwani
huwezi kuwa bora bila mwingine
Hata mkono una vidole vitano pamoja na
kutolingana lakini hakuna kinachoweza kuziba
pengo la mwingine na kikaweza pia kubaki
kwenye nafasi yake pasipo kuacha pengo!!
Hivyo kila kimoja kinathamani yke na Mfumo wa maisha uko hvyo hvyo kam
vidole unawez uka pand juu badae ukashuk uwez kuwa juu milele 👊👊👊👊👊
Saturday, May 13, 2017
MAMB NILIYOJIFUNZA KIPIND HKI
#Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
#Bila bobodabo Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazin
#Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msing
#Nyama ni mbaya kwa Afya yko
#Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizur sana
#Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii tu😁😁
#Ugali pia kumbe ni breakfast (kifungua kinywa)
#Ukioga na sabun ya Kipande kumbe bado unaKuwa msafi
hahahahah ahsante babaaa kaz kamb hvyo hvyoo😁😁😁😁

Subscribe to:
Posts (Atom)