Saturday, February 18, 2017

ISHI NA NDOTO YAKO

Usishindane na watu bali shindana na mipango yako. Ukitaka kuishi kwa furaha, mafanikio ya watu wengine yasikusukume ukaanza kushindana nao. Kushindana na watu wengine ni ukosefu wa hekima, unaoweza kukutoa kwenye mstari wa mafanikio unayoyataka. Kila mtu anaishi ndoto zake unajua

KUWA NA MTAZAMO

Kuwa na mtazamo chanya kwa kila unachofanya, amini katika ushindi hata wakati unaelekea kushindwa. Fukuza kila hisia za huzuni ndani yako, usipoteze muda kufikiria mambo yaliyokuumiza, fikiri juu ya mazuri unayoyatarajia

MAISHA

Katika maisha kunamajanga mengi sana na
mapito ya kila aina, lakini haimaanishi kuwa
tuyazoee na kuyapuuza bali tunapaswa
kufunguka na kujitambua. Unaweza kujiuliza
swali hili mara kwa mara "Kwanini Mimi?" (Why
Me?). Ni rahisi sana kupata muafaka wa
matatizo yako endapo utajitambua kuwa wewe
ni nani katika familia yako na jamii yako pia
Achana na mambo ya kubebewa akili, wewe
kwanza mwingine baadaye! Kwanini umfikirie
mtu ambaye ni sumu katika maisha yako? Mtu
ambaye atakusababishia ushindwe kufanya
kazi vyema na mwisho wa siku ajira yako iote
mbawa?
Jipe nafasi ya kwanza, jifikirie wewe na
maisha yako, angalia mipango yako ya
baadaye. Kwanini iharibike kwa sababu ya
mapenzi? Kwani ameumbwa yeye peke

Thursday, February 16, 2017

Kwenye maisha kuna
leo na kesho kwenye
maisha kuna
changamotokwenye
maisha kuna
rahakwenye maisha
kuna shida kwenye
maisha kuna kupata
na kukosa Haya yote
unabudi huyatambue
ili uweze songa
mbele
Ukiyajua haya
uta teteleka
utasimama imara kwa
lolote litakalo kufika

uvivu wa kufikiria
Mungu ashughuliki na ww maana ushakuwa kilazaaa😂😂😂😂😂 jitoe
pambana kwaajili ya maisha yako
utafanikiwan nasio unitolee mie😳😳😳😳 hpaaaa