Saturday, May 18, 2019

ELIMIKA

Usipokuwa na moyo wa uvumilivu katika mapenzi
Basi kila mtu utamuona hafai.

Sunday, May 12, 2019

Happy Mothers Day

Happy Mothers Day To All Mama,s Around The World GOd Blessing All so Much 😍

Saturday, May 11, 2019

ELIMIKA

Mti hauli Matunda Yake, Lakini Haijawahi Kugoma
Kuzaa Kisa Matunda Yake Huliwa Na Wengine Tufanye Kazi Kama Mti Bila Kuangalia Matunda Yetu Yataliwa Na Nani Tutafika Mbali

ELIMIKA

Usiangalie ubaya ndani ya mtu kabla ya kutazama uzuri alioubeba. Hata saa mbovu husema ukweli mara mbili ndani ya saa 24.

SWALI LA KIZUSHI

Wewe Na Ex wako Mlisema First Born Wenu Ataitwa Nani?😂😂🤣

ELIMIKA

Mwenye Nogwa, Haishiwi Sababu

RAMADAN-KAREEM

#RAMADANKAREEM "Eeh MwenyeziMungu Nakuomba.. Aliyepoteza Matumaini Mpe Imani, Aliyekosa Furaha Mpe Furaha, Aliyekosa Kazi Mpe Kazi, Aliyekosa Upendo Mpe Amani Ya Moyo, Muinue Aliyeanguka, Watetee Wanyonge Na Mrejeshee Aliyepokonywa."
Hakuna utajiri mkubwa kama utajiri wa watu
Unaweza ukakosa pesa mfukoni lakini ukapata chakula, mahali pa kulala na mahitaji mengine kupitia watu


GEGO-MTUTULA-RAMSEY



BLESS


MIDA YA MISOS

GEGO MNETE -PICTURE YA PAMOJA NA MA-SISTER

SISTER FAMILY
NDOA JAMBO LA KHER

FAMILY

FAMILY

BLESSED

KILA LA KHER BROTHER ASLAY ALLY