Baba ako mzazi hujawahi muweka profile wala status unamficha unaona hastahili kuonekana mbele za watu, Lakini mchungaji wa kanisa kutwa katawala Status zako na profile zako, eti baba wa kiroho.
Ndugu yangu Mzazi wako ndio mtu bora hata kama hana hadhi